Friday, July 10, 2015

, ,

SHUHUDA HALISI KUHUSU BIDHAA YA CARE DISINFECTANT TOKA KWA WATUMIAJI

SHUHUDA HALISI KUHUSU BIDHAA YA CARE DISINFECTANT TOKA KWA WATUMIAJI
**************************************************************************************************
Hallo champions!.. nina habari njema hiii nimeona vema nikushirikishe!


✨Katika kampun yetu ya NEOLIFE tuna bidhaa makini ya usafi inaitwa CARE DISINFECTANT maalum kuua vimelea, vijidudu na infection zote...
Kwakua haina madhara yoyote wateja wetu hasa akina dada na mama wameitumia sana kujisafishia mwilini kuogea hata kusafisha sehemu za siri
Wamepata matokeo mazuri sana.  CARE DISINFECTANT imethibitisha kuondoa miwasho, vipele hasa maeneo nyeti na kuua aina zote za fangas hata wadudu wa UTI, pia kuacha harufu nzuri, kuua vimelea vya hata .magonjwa ya zinaa (STDs)
Inakata harufu mbaya hata ya kikwapa!
Kwa kuzingatia kuwa kutokuwa na usafi unaoridhisha na kutumia sabuni za kawaida sehemu nyeti ambazo zinatengenezwa na mafuta na kemikali huko ni moja ya sababu ya infection mbali mbali na hata cancer ya shingo ya kizazi!
✨HIVYO CARE DISINFECTANT imekuwa mkombozi kwa watumiaji hasa kwa usafi wa maeneo nyeti!
Pia Unashauriwa hata nguo za ndani zilowekwe mara kwa mara kwenye maji yenye care na wanaotumia VYOO VYA KUCHANGIA barabarani, mashuleni,makazini, nyumba za kupanga n.k
tembea na care yako mwagia chooni kabla ya kutumia.
Ina matumiz mengi sana kama kusafisha vidonda, kusterilize vifaa vya saluni hospital ( mix 1:10), kusafisha matunda kuondoa sumu za mbolea na madawa ya wakulima n.k
Na mengine mengi utagundua mwenyewe baada ya kuanza kutumia CARE DISINFECTANT.
✨INAPATIKANA KWA UJAZO WA LITA 1 AMBAYO WAWEZA KUTENGENEZA HADI LITA 20-50 UKIMIX NA MAJI.
*N.B :- Usitumie concetrated ni kali mno.
*Kwa uchanganyaji kile kifuniko chake ni mls 5 weka ktk lita 5 za maji tumia kwa matumiz kama ni kuogea, kutoa fungus.
✨INAOKOA GHARAMA SANA NA KULINDA AFYA ZETU.
Contact me if ukihitaji CARE  ---- 0718145320

Thursday, July 9, 2015

, ,

KWANINI NITUMIE OMEGA 3 SALMON OIL PLUS YA GNLD?!

KWANINI NITUMIE OMEGA 3 SALMON OIL PLUS YA GNLD?!
**************************************************************************

🐟Binadamu huitaji kiwango kidogo tu cha mafuta ila wengi wetu hula zaidi. Tunahitaji 1g tu ya mafuta kwa siku ila wengine hula hadi zaidi ya 30g kwa siku.

tunapenda chapati,vitumbua,andaz,chips mayai, nyama n.k hivyo hupikwa kwa mafuta mengi sana.
kwa kuwa wote tunakula mafuta, je tupo salama??

🐠Mbaya zaidi mafuta hayo ni yale mabaya yanayoganda mwilini katika mishipa yetu ya damu mfano cheki zile picha juu hivyo kuziba njia ya damu kupita vizuri kupelekea moyo kupump damu kwa nguvu zaidi na kusababisha high blood pressure, ambayo kuweza kusababisha moyo kutanuka na kushindwa kufanya kazi, iwapo mafuta hayo yataziba mishipa ya damu ya moyo utapata heart attack na kama imeziba mishipa ya ubongo utapata stroke au kiharusi..
🐟mafuta hayo mabaya hayatolewi kwa mazoezi, zoez hutoa mafuta kwenye muscles tu sio kwenye mishipa ya damu. Ndo maana ht wachezaji mpira nao huanguka kwa shinikizo la moyo japo wana mazoezi kila siku
hakuna kitu kinachoweza kutoa mafuta hayo mabaya wengine huita
cholesterol isipokua mafuta ya Omega 3 ambayo hupatikana kwa kiwango kikubwa kwa samaki aitwaye Salmon fish.
🐠samaki wa kawaida wachache wana kiwango kiduchu sana cha mafuta ya omega 3 na pia wana omega 6 ambaya sio mazuri coz yanaganda ktk mishipa ya damu.

🐠Bodi ya wanasayansi kujua hilo watengeneza kirutubisho cha Omega 3 salmon oil plus
SAB wanachofanya ni kukamua minofu ya samaki na mafuta yale kuhifadhiwa ktk caps za omega 3 bila kuchanganywa kitu chochote.
Utafiti ulifanyika wakagundua kuna watu wafup na waneno maarufu km eskimo, walikua hawapati presha japo wanene kumbe ni kwasababu wanaishi ufukwen mwa north atlantic na wanamla samaki huyo
🐠Usichanganye kwenye kampuni kuna Omega 3 na Omega 3 salmon Oil plus
ntaongelea zaidi the best which z omega 3 salmon oil plus
zote nzuri ila omega 3 ina familia mbili za omega wich z EPA n DHA
ila Omega 3 salmon is the best ina familia zote 8 za omega 3
nzuri sana kwa watoto pia ndo maana husikia mtoto clinic wanashauri apewe mafuta ya samaki
🐠🐠🐠🐠🐠🐠🐠🐠🐠🐠


OMEGA 3 SALMON OIL PLUS INA FAIDA HIZI MWILINI:-
🐟kuondoa mafuta mabaya(cholesterol) ktk mishipa ya damu
🐠husaidia afya ya moyo na mzunguko wa damu
🐟husaidia afya ya viungo(joint) kwa kuongeza ute ute (synovial fluid) hata gouts
🐠hukukinga na shinikizo la moyo na stroke
🐟husaidia kuongeza kumbukumbu hasa kwa watoto coz of EPA n DHA
🐠hushusha presha ya kupanda
🐠inasaidia afya ya ubongo hasa watoto
🐟inatibu kipanda uso (migraine headaches)
🐠husaidia afya ya macho/vision
🐟inasaidia ufanyaji kazi wa kongosho (pancreas)
🐠inaregulate kiwango cha mbegu za kiume (sperms)
🐟inaondoa rashes za ngozi
🐠inazuia magonjwa ya kurithi iwapo utanywewa wakati wa ujauzito
🐟ikitumiwa pamoja na chilated zinc husaidia afya ya prostate gland hivyo kuzuia kansa ya kibofu cha mkojo
🐟Inapoza maumivu yenyewe ina anti inflammatory effect
🐟🐟🐟🐟🐟🐟🐟🐟🐟🐟
TAMBUA samaki
huyo hapatikani feli anakaa katika kina kirefu cha bahari ya maji baridi ( deep cold oceans) ndo maana bongo hayupo. Hivyo kumpata mpk Hotels kubwa kama Kempinski.
🐠KWA HESABU ZA KAWAIDA TU ONA ILIVYO BEI CHEE.
-kwa siku mtu anahitaji 1g ya mafuta ya Omega 3 mwilini ambayo  kwa Hotel km Kempinski kipande cha Samaki huyo ili kukidhi kiasi hicho cha Omega 3 inaweza kukucost 50,000/- hyo ni kwa siku tu. Wangapi wataafford hiyo?
🐠ILA OMEGA 3 SALMON OIL PLUS YA GNLD UTAIPATA KWA 55000/- TU. KUMBUKA kopo 1 la omega 3 salmon oil plus
Lina 90 CAPSULE. KWA SIKU UNATUMIA CAPSULE 3 TU. HIVYO UTATUMIA MWEZI MZIMA.
🐠HIVYO ukiwa na kopo la OMEGA 3 SALMON OIL PLUS NI SAWA UMEKULA SALMON FISH 30.
🐟kinga ni bora kuliko tiba chukua hatua leo
je unafahamu unahifadhi kidogo kidogo toka uzaliwe
ni bora 55000 kuliko mamilioni utakayoyatoa baadae na mateso makali