Friday, July 10, 2015

Filled Under: , ,

SHUHUDA HALISI KUHUSU BIDHAA YA CARE DISINFECTANT TOKA KWA WATUMIAJI

SHUHUDA HALISI KUHUSU BIDHAA YA CARE DISINFECTANT TOKA KWA WATUMIAJI
**************************************************************************************************
Hallo champions!.. nina habari njema hiii nimeona vema nikushirikishe!


✨Katika kampun yetu ya NEOLIFE tuna bidhaa makini ya usafi inaitwa CARE DISINFECTANT maalum kuua vimelea, vijidudu na infection zote...
Kwakua haina madhara yoyote wateja wetu hasa akina dada na mama wameitumia sana kujisafishia mwilini kuogea hata kusafisha sehemu za siri
Wamepata matokeo mazuri sana.  CARE DISINFECTANT imethibitisha kuondoa miwasho, vipele hasa maeneo nyeti na kuua aina zote za fangas hata wadudu wa UTI, pia kuacha harufu nzuri, kuua vimelea vya hata .magonjwa ya zinaa (STDs)
Inakata harufu mbaya hata ya kikwapa!
Kwa kuzingatia kuwa kutokuwa na usafi unaoridhisha na kutumia sabuni za kawaida sehemu nyeti ambazo zinatengenezwa na mafuta na kemikali huko ni moja ya sababu ya infection mbali mbali na hata cancer ya shingo ya kizazi!
✨HIVYO CARE DISINFECTANT imekuwa mkombozi kwa watumiaji hasa kwa usafi wa maeneo nyeti!
Pia Unashauriwa hata nguo za ndani zilowekwe mara kwa mara kwenye maji yenye care na wanaotumia VYOO VYA KUCHANGIA barabarani, mashuleni,makazini, nyumba za kupanga n.k
tembea na care yako mwagia chooni kabla ya kutumia.
Ina matumiz mengi sana kama kusafisha vidonda, kusterilize vifaa vya saluni hospital ( mix 1:10), kusafisha matunda kuondoa sumu za mbolea na madawa ya wakulima n.k
Na mengine mengi utagundua mwenyewe baada ya kuanza kutumia CARE DISINFECTANT.
✨INAPATIKANA KWA UJAZO WA LITA 1 AMBAYO WAWEZA KUTENGENEZA HADI LITA 20-50 UKIMIX NA MAJI.
*N.B :- Usitumie concetrated ni kali mno.
*Kwa uchanganyaji kile kifuniko chake ni mls 5 weka ktk lita 5 za maji tumia kwa matumiz kama ni kuogea, kutoa fungus.
✨INAOKOA GHARAMA SANA NA KULINDA AFYA ZETU.
Contact me if ukihitaji CARE  ---- 0718145320

3 comments: