KWANINI NITUMIE OMEGA 3 SALMON OIL PLUS YA GNLD?!
**************************************************************************
tunapenda chapati,vitumbua,andaz,chips mayai, nyama n.k hivyo hupikwa kwa mafuta mengi sana.
kwa kuwa wote tunakula mafuta, je tupo salama??
hakuna kitu kinachoweza kutoa mafuta hayo mabaya wengine huita
cholesterol isipokua mafuta ya Omega 3 ambayo hupatikana kwa kiwango kikubwa kwa samaki aitwaye Salmon fish.
SAB wanachofanya ni kukamua minofu ya samaki na mafuta yale kuhifadhiwa ktk caps za omega 3 bila kuchanganywa kitu chochote.
Utafiti ulifanyika wakagundua kuna watu wafup na waneno maarufu km eskimo, walikua hawapati presha japo wanene kumbe ni kwasababu wanaishi ufukwen mwa north atlantic na wanamla samaki huyo
ntaongelea zaidi the best which z omega 3 salmon oil plus
zote nzuri ila omega 3 ina familia mbili za omega wich z EPA n DHA
ila Omega 3 salmon is the best ina familia zote 8 za omega 3
nzuri sana kwa watoto pia ndo maana husikia mtoto clinic wanashauri apewe mafuta ya samaki
nzuri sana kwa watoto pia ndo maana husikia mtoto clinic wanashauri apewe mafuta ya samaki
TAMBUA samaki
huyo hapatikani feli anakaa katika kina kirefu cha bahari ya maji baridi ( deep cold oceans) ndo maana bongo hayupo. Hivyo kumpata mpk Hotels kubwa kama Kempinski.
huyo hapatikani feli anakaa katika kina kirefu cha bahari ya maji baridi ( deep cold oceans) ndo maana bongo hayupo. Hivyo kumpata mpk Hotels kubwa kama Kempinski.
-kwa siku mtu anahitaji 1g ya mafuta ya Omega 3 mwilini ambayo kwa Hotel km Kempinski kipande cha Samaki huyo ili kukidhi kiasi hicho cha Omega 3 inaweza kukucost 50,000/- hyo ni kwa siku tu. Wangapi wataafford hiyo?
Lina 90 CAPSULE. KWA SIKU UNATUMIA CAPSULE 3 TU. HIVYO UTATUMIA MWEZI MZIMA.
je unafahamu unahifadhi kidogo kidogo toka uzaliwe
ni bora 55000 kuliko mamilioni utakayoyatoa baadae na mateso makali

Habari. Kwa sasa bei ya omega 3 ni hiyo 55,000 au kupanda/kushuka?
ReplyDeleteNapata vipi
DeleteNitafute 0687372081
DeleteNayapataje??
ReplyDeleteNayapataje??
ReplyDelete